Ufafanuzi wa mnadhimu katika Kiswahili

mnadhimu

nominoPlural wanadhimu

  • 1

    ofisa wa jeshi wa cheo cha juu ambaye ni mshauri mkuu wa mkuu wa majeshi.

    ‘Rais amemteua mnadhimu Mkuu mpya’

Asili

Kar

Matamshi

mnadhimu

/mnaðimu/