Ufafanuzi wa mnafiki katika Kiswahili

mnafiki

nominoPlural wanafiki

  • 1

    mtu anayesema kinyume na anavyotenda; mtu anayetoa ahadi kisha asitimize.

    mzandiki, mdanganyifu, bazazi

Matamshi

mnafiki

/mnafiki/