Ufafanuzi msingi wa mnamo katika Kiswahili

: mnamo1mnamo2

mnamo1

nominoPlural minamo

  • 1

    ukingo, agh. wa chombo k.v. jahazi au dau.

Matamshi

mnamo

/mnamɔ/

Ufafanuzi msingi wa mnamo katika Kiswahili

: mnamo1mnamo2

mnamo2

kielezi

  • 1

    katika kipindi maalumu.

    ‘Tutaondoka mnamo saa saba mchana’

Matamshi

mnamo

/mnamɔ/