Ufafanuzi msingi wa mnana katika Kiswahili

: mnana1mnana2

mnana1

nominoPlural minana, Plural mnana

  • 1

    ndege mdogo wa jamii ya nyomvi.

Matamshi

mnana

/mnana/

Ufafanuzi msingi wa mnana katika Kiswahili

: mnana1mnana2

mnana2

nominoPlural minana, Plural mnana

  • 1

    rangi ya manjano itumikayo kupikia ukili.

Matamshi

mnana

/mnana/