Ufafanuzi wa mnanaa katika Kiswahili

mnanaa

nominoPlural minanaa

  • 1

    mmea ambao harufu ya majani na maua yake humpoteza mtu fahamu au kumlewesha.

Asili

Kar

Matamshi

mnanaa

/mnana:/