Ufafanuzi wa mnanasi katika Kiswahili

mnanasi

nomino

  • 1

    mmea wenye majani yanayofanana na ya mkonge na huzaa tunda tamu linaloliwa lenye ganda la mibamiba.

Asili

Kaj

Matamshi

mnanasi

/mnanasi/