Ufafanuzi wa mnara katika Kiswahili

mnara

nominoPlural minara

  • 1

    kitu kirefu kilichosimamishwa au kujengwa kwa madhumuni ya kuonyeshea ishara fulani k.v. baharini kuonyesha njia ya chombo ili kipite kwa salama; jengo refu lililojengwa kwa madhumuni maalumu ya kuadhimisha au kusherehekea tukio fulani.

    ‘Mnara wa Azimio la Arusha’
    buruji

Asili

Kar

Matamshi

mnara

/mnara/