Ufafanuzi wa mnara wa Babeli katika Kiswahili

mnara wa Babeli

Kidini
  • 1

    Kidini
    mnara mrefu unaoaminika kuwa watu waliujenga ili waweze kumfikia Mungu na baadaye Mungu akawatenganisha kwa kuwapa lugha tofauti wakakosa kuelewana na wakatengana.