Ufafanuzi wa mnaraha katika Kiswahili

mnaraha

nominoPlural minaraha

  • 1

    mmea wenye maua mapana ambayo, agh. hutumiwa kuwa ni dawa ya pumu na maradhi mengineyo.

Matamshi

mnaraha

/mnaraha/