Ufafanuzi wa mnasaba katika Kiswahili

mnasaba

nominoPlural minasaba

  • 1

    uhusiano baina ya pande mbili au zaidi.

Matamshi

mnasaba

/mnasaba/