Ufafanuzi wa mnaso katika Kiswahili

mnaso

nomino

  • 1

    tendo au hali ya kushikwa na kitu kinachonata au kunasa k.v. ulimbo au mtego.

Matamshi

mnaso

/mnasÉ”/