Ufafanuzi msingi wa mnazi katika Kiswahili

: mnazi1mnazi2

mnazi1

nominoPlural mnazi, Plural minazi

  • 1

    mti mrefu usiokuwa na panda unaotoa matawi yenye majani marefu yanayotumika kwa kujengea na matunda yanayoitwa nazi ambayo hutumiwa kupikia vyakula mbalimbali au kutengenezea mafuta.

Ufafanuzi msingi wa mnazi katika Kiswahili

: mnazi1mnazi2

mnazi2

nominoPlural mnazi, Plural minazi

  • 1

    pombe inayotokana na kugema mnazi.

    tembo

Matamshi

mnazi

/mnazi/