Ufafanuzi wa mndule katika Kiswahili

mndule

nominoPlural mindule

  • 1

    kibanda kinachojengwa na wasafiri ili kupumzikia.

Matamshi

mndule

/mndulɛ/