Ufafanuzi wa mnenaji katika Kiswahili

mnenaji

nominoPlural wanenaji

  • 1

    mtu mwenye tabia ya kusema sana; mtu anayekuwa msemaji kwa wakati fulani.

Matamshi

mnenaji

/mnɛnaʄi/