Ufafanuzi wa mneso katika Kiswahili

mneso

nominoPlural mineso

  • 1

    hali ya kubonyea na kurudia hali ya kawaida k.v. mpira au godoro la springi linapobonyezwa.

  • 2

    kushindwa kufikia uamuzi; tendo la kuyumba.

Matamshi

mneso

/mnɛsɔ/