Ufafanuzi wa mng’ao katika Kiswahili

mng’ao

nomino

  • 1

    mwangaza au mmeto wa kitu.

    mng’aro, nuru