Ufafanuzi wa mning’inio katika Kiswahili

mning’inio

nomino

  • 1

    hali ya kitu kushikiliwa kwa juu na sehemu nyingine kuelea kwenye hewa.

Matamshi

mning’inio

/mniɲinijɔ/