Ufafanuzi wa mninga katika Kiswahili

mninga

nominoPlural mininga

  • 1

    mti ambao hutoa mbao nzuri ngumu za kutengenezea samani za nyumbani.

    mpagata, mtumbati, mkunguru, muhagata

Matamshi

mninga

/mninga/