Ufafanuzi wa mno katika Kiswahili

mno

kielezi

  • 1

    kupita kiasi; kuzidi kuliko kawaida.

    ‘Asali ni tamu mno’
    tele, belele, kayaya, sana, kifai, pomoni, chekwa, zaidi

Matamshi

mno

/mnɔ/