Ufafanuzi wa mnofu katika Kiswahili

mnofu

nominoPlural minofu

  • 1

    nyama isiyo na mfupa au mwiba.

Matamshi

mnofu

/mnɔfu/