Ufafanuzi wa mnukauvundo katika Kiswahili

mnukauvundo

nomino

  • 1

    mmea ambao majani yake hutumika kwa kuogeshea watoto wanaposhikwa na homa ya dege na yakifikichwa hutoa harufu mbaya sana.

Matamshi

mnukauvundo

/mnukauvundÉ”/