Ufafanuzi wa mnuna katika Kiswahili

mnuna

nomino

  • 1

    ndugu mdogo.

    ‘Huyu ni mnuna wangu’

Matamshi

mnuna

/mnuna/