Ufafanuzi wa mnunuzi katika Kiswahili

mnunuzi

nominoPlural wanunuzi

  • 1

    mtu anayepata kitu kwa kulipia kwa fedha.

    mshitiri

Matamshi

mnunuzi

/mnunuzi/