Ufafanuzi wa mnururisho katika Kiswahili

mnururisho

nominoPlural minururisho

  • 1

    mrusho wa nuru kutokana na nguvu za miale k.v. ya umeme.

Matamshi

mnururisho

/mnunuri∫ɔ/