Ufafanuzi wa mnyama katika Kiswahili

mnyama

nominoPlural wanyama

  • 1

    kiumbe mwenye uhai, agh. mwenye miguu minne, kisichokuwa mtu, mmea au mdudu.

    hayawani

  • 2

    mtu asiyekuwa na tabia ya ubinadamu.

    hayawani

Matamshi

mnyama

/mɲama/