Ufafanuzi wa mnyambuliko katika Kiswahili

mnyambuliko

nominoPlural minyambuliko

Sarufi
  • 1

    Sarufi
    uzalishaji wa neno kutokana na kuweka viambishi kwenye kiini au mzizi au shina la neno k.m. kat.a→kat.ia.

Matamshi

mnyambuliko

/mɲambulikɔ/