Ufafanuzi wa mnyang’anyi katika Kiswahili

mnyang’anyi

nomino

  • 1

    mtu anayetumia nguvu wakati wa kuiba kimachomacho.

    gaidi, haramia

Matamshi

mnyang’anyi

/mɲaŋa3i/