Ufafanuzi wa mnyanya katika Kiswahili

mnyanya

nomino

  • 1

    mmea uzaao nyanya ambazo zikiiva huwa nyekundu na hutumika kwa kuungia mboga au kuliwa bila kupikwa.

Matamshi

mnyanya

/mɲa3a/