Ufafanuzi wa mnyapara katika Kiswahili

mnyapara

nominoPlural wanyapara

  • 1

    mkuu wa msafara wa miguu.

  • 2

    mtu anayeangalia utekelezaji wa kazi bila ya yeye mwenyewe kushiriki.

    msimamizi

Matamshi

mnyapara

/mɲapara/