Ufafanuzi wa mnyara katika Kiswahili

mnyara

nominoPlural minyara

  • 1

    mmea wenye majani kama vitawi unaotumiwa kujengea manyata au boma, hutumiwa pia kama utupa ili kuulia samaki.

Matamshi

mnyara

/mɲara/