Ufafanuzi wa mnyenyekeo katika Kiswahili

mnyenyekeo

nominoPlural minyenyekeo

  • 1

    hali ya kuonyesha tabia ya utiifu.

Matamshi

mnyenyekeo

/mɲɛɲɛkɛɔ/