Ufafanuzi wa mnyimbi katika Kiswahili

mnyimbi

nominoPlural minyimbi

  • 1

    samaki mrefu mwenye umbo la mviringo, rangi nyeupe tumboni na ya kijivu mgongoni, mdomo wake mfupi na ana magamba makubwa sana.

Matamshi

mnyimbi

/mɲimbi/