Ufafanuzi wa mnyonge katika Kiswahili

mnyonge

nominoPlural wanyonge

 • 1

  mtu dhaifu; mtu asiyekuwa na nguvu.

  mnyela

 • 2

  mtu mwenye tabia ya upole na ya kunyenyekea.

 • 3

  mtu wa hali ya chini.

  kabwela

Matamshi

mnyonge

/mɲɔngɛ/