Ufafanuzi wa mnyumbuko katika Kiswahili

mnyumbuko

nominoPlural minyumbuko

  • 1

    hali ya kunyumbuka kwa kitu kinachoweza kunyumbuka, agh. mpira.

Matamshi

mnyumbuko

/mɲumbukɔ/