Ufafanuzi wa mnywanywa katika Kiswahili

mnywanywa

nominoPlural wanywanywa

 • 1

  mtu mwenye tabia ya kutoridhika na jambo ambalo hutendwa na wengine; mtu asiyethamini kinachofanywa na wengine.

  mtaaradhi

 • 2

  mtu mwenye tabia ya kuonea kinyaa kila kitu.

 • 3

  machagu, mchaguzi, mbeuzi, kidomo

Matamshi

mnywanywa

/mɲwaɲwa/