Ufafanuzi wa modereta katika Kiswahili

modereta

nomino

  • 1

    ‘Modereta hapaswi kupendelea upande wowote’

  • 2

    mtu anayetathmini mitihani.

Asili

Kng

Matamshi

modereta

/mɔdɛrɛta/