Ufafanuzi wa mofa katika Kiswahili

mofa

nominoPlural mofa

  • 1

    mkate mgumu wa duara unaotengenezwa kwa unga wa nafaka k.v. mtama, uwele au mahindi.

Matamshi

mofa

/mɔfa/