Ufafanuzi wa mofimu katika Kiswahili

mofimu

nominoPlural mofimu

Sarufi
 • 1

  Sarufi
  kipashio kidogo kabisa chenye maana katika neno.

  ‘K.m. ‘alipika’ lina mofimu nne zinazoonyesha mzizi a- nafsi ya tatu umoja’
  ‘-li- wakati uliopita’
  ‘-pik- mzizi wa kitenzi, na -a kiishio’

Asili

Kng

Matamshi

mofimu

/mɔfimu/