Ufafanuzi wa mofolojia katika Kiswahili

mofolojia

nominoPlural mofolojia

Sarufi
  • 1

    Sarufi
    tawi la isimu linalojishughulisha na uchambuzi wa kanuni na mifumo inayohusu upangaji wa mofimu mbalimbali ili kuunda maneno yenye maana katika lugha.

Asili

Kng

Matamshi

mofolojia

/mɔfɔlɔʄija/