Ufafanuzi msingi wa moja katika Kiswahili

: moja1moja2

moja1

nominoPlural moja

 • 1

  tamko linaloonyesha idadi ya kwanza ya mamoja katika hesabu.

 • 2

  tarakimu ya idadi ya kwanza ya mamoja, yaani ‘1’.

  wahedi

Matamshi

moja

/mɔʄa/

Ufafanuzi msingi wa moja katika Kiswahili

: moja1moja2

moja2

kivumishi

 • 1

  -enye thamani ya kwanza katika tarakimu.

  ‘Embe moja’

Matamshi

moja

/mɔʄa/