Ufafanuzi msingi wa mojamoja katika Kiswahili

: mojamoja1mojamoja2

mojamoja1

kivumishi

 • 1

  -enye kitu kimoja.

  ‘Wanafunzi walipewa kalamu mojamoja’
  ‘Shule zilipasisha mwanafunzi mmojamojammojamoja’

Matamshi

mojamoja

/mɔʄamɔʄa/

Ufafanuzi msingi wa mojamoja katika Kiswahili

: mojamoja1mojamoja2

mojamoja2

kielezi

 • 1

  kwa mfuatano wa kitu kimoja baada ya kingine.

  ‘Mama alipanga nguo sandukuni mojamoja’

Matamshi

mojamoja

/mɔʄamɔʄa/