Ufafanuzi wa momonyoa katika Kiswahili

momonyoa

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lea, ~leana, ~lewa, ~sha

  • 1

    vunja kitu kilicho laini k.v. udongo, ladu au sukari guru.

  • 2

    vunjavunja na kufanya vipandevipande.

Matamshi

momonyoa

/mɔmɔɲɔwa/