Ufafanuzi wa morali katika Kiswahili

morali

nominoPlural morali

  • 1

    moyo wa kufanya jambo kwa dhati.

Asili

Kng

Matamshi

morali

/mɔrali/