Ufafanuzi wa moramu katika Kiswahili

moramu

nomino

  • 1

    mchanga wa chembe kubwa kama changarawe ndogo unaotumiwa kutengenezea barabara au kujengea nyumba.

Asili

Kng

Matamshi

moramu

/mɔramu/