Ufafanuzi msingi wa mori katika Kiswahili

: mori1mori2mori3mori4

mori1

nominoPlural mori

 • 1

  ng’ombe jike ambaye bado hajazaa.

  mtamba

Asili

Kar

Matamshi

mori

/mɔri/

Ufafanuzi msingi wa mori katika Kiswahili

: mori1mori2mori3mori4

mori2

nominoPlural mori

 • 1

  mafuta ya kifuani mwa mnyama, hasa ng’ombe.

Asili

Kar

Matamshi

mori

/mɔri/

Ufafanuzi msingi wa mori katika Kiswahili

: mori1mori2mori3mori4

mori3

nominoPlural mori

 • 1

  hasira kali anayokuwa nayo mtu, agh. kwa kuzuiliwa kulipiza kisasi.

  harara

Matamshi

mori

/mɔri/

Ufafanuzi msingi wa mori katika Kiswahili

: mori1mori2mori3mori4

mori4

nominoPlural mori

 • 1

  dawa maalumu inayomfanya mtu awe mkali.

Matamshi

mori

/mɔri/