Ufafanuzi msingi wa moshi katika Kiswahili

: moshi1moshi2

moshi1

nominoPlural moshi

 • 1

  hewa nzito ya rangi nyeupe, kijivu au nyeusi inayotokana na kuungua kwa vitu k.v. majani au mafuta.

  dohani

 • 2

  mvuke wenye harufu kali utokao kwenye maganda k.v. ya limau, ndimu au chungwa.

 • 3

  hewa inayotoka mdomoni mwa mtu kunapokuwa na baridi kali.

Matamshi

moshi

/mɔ∫i/

Ufafanuzi msingi wa moshi katika Kiswahili

: moshi1moshi2

moshi2

nominoPlural moshi

 • 1

  pombe kali inayotengenezwa kwa kukeneka maji machachu ya matunda au mimea.

  gongo, piwa, chang’aa

Matamshi

moshi

/mɔ∫i/