Ufafanuzi wa motifu katika Kiswahili

motifu

nominoPlural motifu

  • 1

    rangi inayojirudia katika kazi ya sanaa ya uchoraji.

  • 2

    mada inayorudiwarudiwa katika kazi ya sanaa.

Asili

Kng

Matamshi

motifu

/mɔtifu/