Ufafanuzi wa moto katika Kiswahili

moto

nomino

 • 1

  mwako wa kitu kinachoungua.

  ‘Motoni jahanamu’
  nari

 • 2

  joto kali linaloweza kuunguza.

 • 3

  tabia ya kuwa na hasira.

Matamshi

moto

/mɔtɔ/