Ufafanuzi wa mpagani katika Kiswahili

mpagani

nominoPlural wapagani

  • 1

    mtu asiyefuata imani ya dini yoyote miongoni mwa dini kuu zinazotambulika duniani.

  • 2

    mtu asiye na dini.

Asili

Kng

Matamshi

mpagani

/m pagani/