Ufafanuzi wa mpagazi katika Kiswahili

mpagazi

nominoPlural wapagazi

  • 1

    mtu anayefanya kazi ya kubeba mizigo.

    hamali

Matamshi

mpagazi

/m pagazi/